Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, January 31, 2016

  MAYANJA ENZI ZAKE ALIKUWA 'HAKUNA KUREMBA', ANAPIGA BAO MPIRA KATI

  Kiungo wa KCC, Jackson Mayanja (kushoto) akikimbia na mpira kuurudisha kati uanze baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya SC Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uganda mwaka 1997 Uwanja wa Nakivubo mjini Kampala. Mayanja kwa sasa ni kocha wa Simba SC na mbali na KCC alicheza pia SC Villa na timu ya taifa ya Uganda, The Cranes
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MAYANJA ENZI ZAKE ALIKUWA 'HAKUNA KUREMBA', ANAPIGA BAO MPIRA KATI Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top