• HABARI MPYA

  Saturday, January 23, 2016

  FIRMINO APIGA MBILI LIVERPOOL IKIILAZA MABAO 5-4 NORWICH CITY ENGLAND

  Mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino (kushoto) akiifungia timu yake bao la kwanza kati ya mawili aliyofunga katika ushindi wa 5-4 dhidi ya Norwich City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Carrow Road. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Jordan Henderson, James Milner na Adam Lallana, wakati ya Norwich yamefungwa na Dieudonne Mbokani Bezua, Steven Naismith, Wes Hoolahan kwa penalti na Sebastien Bassong PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIRMINO APIGA MBILI LIVERPOOL IKIILAZA MABAO 5-4 NORWICH CITY ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top