Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, January 24, 2016

  MKANGWA NA SABEBE ENZI ZAO WALIKUWA WAKALI KWELI!

  Mshambuliaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa 20 ya Tanzania, Abubakar Mkangwa (kushoto) akipambana na wachezaji wa timu ya Ghana katika mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika uliofanyika mwaka 1998 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Mchezaji mwingine wa Tanzania kulia ni Abdallah Saleh Sabebe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MKANGWA NA SABEBE ENZI ZAO WALIKUWA WAKALI KWELI! Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top