OSAMA ALICHEZA MUDA MFUPI TU YANGA, LAKINI WALIMTAMBUA!
Kiungo wa Yanga SC, Geoffrey Mangenge 'Osama' akiruka na kipa wa Kajumulo WS katika mchezo wa iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano mwaka 1999 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Kiungo huyo aliyeichezea Kenya katika Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2004 nchini Tunisia, alidumu Yanga kwa misimu miwili tu, 1999 na 2000, lakini bado anakumbukwa Jangwani.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment