Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Friday, January 29, 2016

  AZAM FC WALIVYOJIFUA LEO NDOLA KUJIANDAA KWA MECHI NA WAZIMBABWE KESHO

  Wachezaji wa Azam FC, Allan Wanga (kulia) na Said Mpourad (kushoto) wakifanya mazoezi asubuhi ya leo mjini Ndola, Zambia kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Mabingwa wa Zimbabwe, Chicken Inn, utakaoanza Saa 8.00 mchana
  Himid Mao (kulia) na Khamis Mcha 'Vialli' (kushoto) wakijifua leo Ndola

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOJIFUA LEO NDOLA KUJIANDAA KWA MECHI NA WAZIMBABWE KESHO Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top