Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, January 28, 2016

  SAMATTA NDANI YA AMSTERDAM AKISUBIRI KUUNGANISHA 'PIPA' LA BRUSSELS

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa Uwanja wa Ndege wa Amsterdam, Uholanzi asubuhi ya leo kusubiri kuunganisha ndege kwenda Brussels, Ubelgiji kujiunga na klabu yake mpya, KRC Genk ya Ligi Kuu ya nchini humo. Samatta aliondoka Dar es Salaam usiku wa jana. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SAMATTA NDANI YA AMSTERDAM AKISUBIRI KUUNGANISHA 'PIPA' LA BRUSSELS Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top