Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, January 21, 2016

  BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI BILA MESSI, SUAREZ KOMBE LA MFALME

  Kiungo wa Barcelona, Sergio Busquets akipasua katikati ya wachezaji wa Athletic Bilbao katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe Mfalme. Barcelona iliyocheza bila washambuliaji wake wawili nyota Lionel Messi na Luis Suarez imeshinda 2-1 Uwanja wa San Mames Barris, mabao ya Neymar na Munir El Haddadi, wakati bao la wenyeji limefungwa na Aduriz Zubeldia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI BILA MESSI, SUAREZ KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top