• HABARI MPYA

  Sunday, January 31, 2016

  MTANZANIA AMDUNDA MRUSI KWA KO RAUNDI YA TATU CHINA


  Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ wa Tanzania akiinuliwa mkono kutangazwa mshindi baada ya ushindi wa Technical Knockout (TKO) raundi ya tatu dhidi ya Andrey Kalyuzhnny wa Urusi ukumbi wa Shanghai Oriental Sports Center mjini Shanghai, China Jumamosi katika pambano lisilo la ubingwa la uzito wa Super Middle. Kushoto mwenye nguo za kijani ni kocha wa Dullah Mbabe, Mtanzania mwenzake, Emmanuel Mlundwa akifurahia kazi yake nzuri

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTANZANIA AMDUNDA MRUSI KWA KO RAUNDI YA TATU CHINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top