Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, January 30, 2016

  LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA WEST HAM RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA

  Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke (kushoto), akienda hewani kupiga mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa West Ham United katika mchezo wa Raundi ya Nne ya Kombe la FA England usiku wa leo Uwanja wa Anfield. Timu hizo zimetoka sare ya 0-0 na sasa zitarudiana kutafuta timu ya kusonga mbele PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA WEST HAM RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top