• HABARI MPYA

    Friday, January 08, 2016

    RAIS WA FA YA SOMALIA AWA KIONGOZI BORA WA MWAKA AFRIKA

    Rais wa Shirikisho la Soka Somalia (SFA), Abdiqani Said Arab (wa pili kulia) akipokea tuzo ya Kiongozi Bora wa Mwaka Afrika katika sherehe za usikuwa tuzo za Shirikisho la Soka Afrika jana ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Abuja, Nigeria. Kushoto ni Rais wa CAF, Issa Hayatou.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS WA FA YA SOMALIA AWA KIONGOZI BORA WA MWAKA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top