MATOKEO YOTE MECHI ZA LEO KOMBE LA FA
Liverpool 0 - 0 West Ham United
Bolton Wanderers 1 - 2 Leeds United
Bury 1 - 3 Hull City
Nottingham Forest 0 - 1 Watford
Arsenal 2 - 1 Burnley
Aston Villa 0 - 4 Manchester City
Shrewsbury Town 3 - 2 Sheffield Wednesday
Portsmouth 1 - 2 Bournemouth
West Bromwich Albion 2 - 2 Peterborough United
Crystal Palace 1 - 0 Stoke City
Oxford United 0 - 3 Blackburn Rovers
Reading 4 - 0 Walsall
Colchester United 1 - 4 Tottenham Hotspur
Nyota wa Manchester City, Kelechi Iheanacho akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Villa Park kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA leo, Bao lingine la City limefungwa na Raheem Sterling PICHA ZAIDI GONGA HAPA



.png)
0 comments:
Post a Comment