• HABARI MPYA

  Tuesday, September 10, 2019

  UJERUMANI YAWACHAPA IRELAND KASKAZINI 2-0 BELFAST KUFUZU EURO

  Marcel Halstenberg akipongezwa na Toni Kroos baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza dakika ya 48 kabla ya Serge Gnabry kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Ireland ya Kaskazini kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Windsor Park mjini Belfast 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAWACHAPA IRELAND KASKAZINI 2-0 BELFAST KUFUZU EURO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top