• HABARI MPYA

  Tuesday, September 10, 2019

  NINJA WA YANGA SC NA ZLATAN IBRAHIMOVIC MAZOEZINI GYM LA GALAXY

  Beki wa kikosi cha wachezaji wa akiba cha LA Galaxy, Mtanzania Abdalla Haji Shaibu 'Ninja' akiwa na mshambuliaji wa kikosi cha kwanza cha timu hiyo, Msweden Zlatan Ibrahimovich kwenye gym ya klabu hiyo Dignity Health Sports Park Carson mjini California nchini Marekani kwa mazoezi ya viungo. Ninja yupo LA Galaxy II kwa mkopo kutoka MFK Vyskov ya Czech aliyojiunga nayo akitokea Yanga ya Dar es Salaam 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NINJA WA YANGA SC NA ZLATAN IBRAHIMOVIC MAZOEZINI GYM LA GALAXY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top