Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akipatiwa matibabu ya msuli wa paka baada ya kuumia katika mchezo wa La Liga dhidi ya Villarreal usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kabla ya kutolewa mapumziko nafasi yake ikichukuliwa na Ousmane Dembele. Barcelona ilishinda 2-1, mabao yake yakichukuliwa na Antoine Griezmann dakika ya sita na Arthur Melo dakika ya 15, wakati la Villarreal lilifungwa na Santi Cazorla dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment