• HABARI MPYA

  Saturday, September 14, 2019

  MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 3-1

  Sadio Mane (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake, beki Virgil van Dijk baada ya kuiufngia timu yake bao la kusawazisha dakika ya 28 kufuatia Jetro Willems kutangulia kuifungia Newcastle United dakika ya saba katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Liverpool imeshinda 3-1, mabao yake mengine yakifungwa na Mane pia dakika ya 40 na Mohamed Salah dakika ya 72 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top