Riyad Mahrez (kulia) akishangilia na Ilkay Gundogan baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 24 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Oblasny SportKomplex Metalist mjini Kharkiv. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Gundogan dakika ya 38 na Gabriel Jesus dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Washington wins NBA draft lottery, chance to pick No. 1 overall on June 23
-
The league’s worst team this season is getting the No. 1 pick in the NBA
draft. The Washington Wizards won the draft lottery on Sunday and are
poised to pi...
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment