Son Heung-min akisherehekea baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 10 na 23 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Patrick van Aanholt aliyejifunga dakika ya 21 na Erik Lamela dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Saturday, September 14, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment