Kiungo Mreno Bernardo Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 15, 48 na 60 katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na David Silva dakika ya kwanza, Sergio Aguero kwa penalti dakika ya saba, Riyad Mahrez dakika ya 12, Nicolas Otamendi dakika ya 18 na Kelvin De Bruyne dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Matteo Guendouzi 'has NO future at Arsenal as Mikel Arteta informs him he will be sold this summer'
-
Guendouzi's move to Germany came following two big bust ups with Arteta
last year at Arsenal and there appears to be no way back for the
21-year-old.
56 minutes ago
0 comments:
Post a Comment