Roberto Firmino (wa pili kulia) akiifungia bao la pili Liverpool dakika ya 30 kufuatia Trent Alexander-Arnold kufunga la kwanza dakika ya 14, kabla ya N'Golo Kante kuifungia Chelsea dakika ya 71 Wekundu hao wakishinda 2-1 Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, September 22, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment