Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini mjini Ndola jana asubuhi kuelekea mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Zesco United leo jioni Uwanja wa Levy Mwanawasa. Yanga inatakiwa kushinda ugenini leo baada ya sare ya 1-1 nyumbani wiki mbili zilizopita
Kim Little wins November Goal of the Month
-
Scotland international wins award for her stunning strike in the WSL's
first north London derby
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment