Rhian Brewster akimrukia mgongoni mchezaji mwenzake, Ki-Jana Hoever kumpongeza baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 69 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Milton Keynes Dons kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa MK mjini Buckinghamshire. Bao la kwanza la Liverpool lilifungwa na James Milner dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Washington wins NBA draft lottery, chance to pick No. 1 overall on June 23
-
The league’s worst team this season is getting the No. 1 pick in the NBA
draft. The Washington Wizards won the draft lottery on Sunday and are
poised to pi...
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment