• HABARI MPYA

    Saturday, September 28, 2019

    SIMBA SC WALIVYOJIFUA JANA MWANZA KUJIANDA NA MECHI DHIDI YA BIASHARA UNITED KESHO MUSOMA

    Mshambuliaji Mbrazil wa Simba SC, Wilker Da Silva akijifua na wenzake jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Biashara United mjini Musoma mkoani Mara
    Beki wa Simba SC, Kennedy Wilson akijifua na wenzake jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kujiandaa kuwavaa Biashara United kesho Uwanja wa Karume mjini Musoma 
    Kiungo Mkenya wa Simba SC, Francis Kahata akijifua na wenzake jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza    
    Beki wa Simba SC, Ramadhani Haruna Shamte akijifua na wenzake jana CCM Kirumba 
    Wachezaji wa Simba SC, Kennedy Wilson wakiwa mazoezini jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza   
    Wachezaji wa Simba SC wakijifua jana CCM Kirumba tayari kuwavaa Biashara United kesho mjini Musoma 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOJIFUA JANA MWANZA KUJIANDA NA MECHI DHIDI YA BIASHARA UNITED KESHO MUSOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top