Lionel Messi akiwa haaimini macho yake baada ya kipigo cha 2-0 kutoka kwa wenyeji, Granada kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Nuevo Los Carmenes, mabao ya Ramon Azeez dakika ya pili na Alvaro Vadillo kwa penalti dakika ya 66. Messi aliingia akitokea benchi kuchukua nafasi ya Carles Perez kipindi cha pili baada ya kuw anje kwa muda mrefu kutokana na maumivu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Washington wins NBA draft lottery, chance to pick No. 1 overall on June 23
-
The league’s worst team this season is getting the No. 1 pick in the NBA
draft. The Washington Wizards won the draft lottery on Sunday and are
poised to pi...
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment