Willian akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 76 kufuatia Jorginho kufunga la kwanza kwa penalti dakika ya 50 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo huo ukiwa ni ushindi wa kwanza kwa kocha Frank Lampard Uwanja wa Stamford Bridge kwenye ligi hiyo PICHA ZADI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment