• HABARI MPYA

  Saturday, September 28, 2019

  WIJNALDUM APIGA BAO PEKEE, LIVERPOOL YAICHAPA SHEFFIELD 1-0

  Kiungo Mholanzi, Georginio Wijnaldum akishangilia na mchezaji mwenzake, Mbrazil Roberto Firmino baada ya kuifungia Liverpool bao pekee dakika ya 79 ikiwalaza wenyeji, Sheffield United 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Bramall Lane huo ukiwa ushindi wa saba mfululizo tangu msimu uanze 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WIJNALDUM APIGA BAO PEKEE, LIVERPOOL YAICHAPA SHEFFIELD 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top