Riyad Mahrez akishanglia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 71 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park. Mabao mengine ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 24 na Raheem Sterling dakika ya 84, wakati la Everton limefungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 33. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kim Little wins November Goal of the Month
-
Scotland international wins award for her stunning strike in the WSL's
first north London derby
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment