Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Ureno mabao manne dakika za saba kwa penalti, 61, 65 na 76 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, Lithuania kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Vilniaus LFF mjini Vilnius. Bao lingine la Ureno lilifungwa na William Carvalho dakika ya 90 na ushei, wakati la Lithuania limefungwa na Vytautas Andriuskevicius dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pressure mounts on Bodejo to drop out of Senate race
-
Pressure mounts on Abdullahi Bello Bodejo to quit the Taraba Central
senatorial race after his arrest, detention and alleged pressure to
withdraw.
The p...
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment