• HABARI MPYA

  Sunday, September 08, 2019

  RONALDO AFUNGA URENO YASHINDA 4-2 KUFUZU EURO 2020

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akipongezana na wachezaji wenzake, baada ya kuiongoza Ureno kupata ushindi wa ugenini wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Serbia katika mchezo wa Kundi B Uwanja wa Rajko Mitie mjini Belgrade.
  Ronaldo alifunga bao la tatu dakika ya 80, wakati mabao mengine ya Ureno yalifungwa na William Carvalho dakika ya 42, Goncalo Guedes dakika ya 58 na Bernardo Silva dakika ya 86, huku ya wenyeji yakifungwa na Nikola Milenkovic dakika ya 68 na Aleksandar Mitrovic dakika ya 85 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA URENO YASHINDA 4-2 KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top