• HABARI MPYA

    Sunday, September 08, 2019

    CHIRWA APIGA HAT TRICK AZAM FC YAICHAPA PAN AFRICANS 4-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI

    Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Pan  Africans katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 4-1, Chirwa akipiga ha trick na lingine likifugwa na mshambuliaji mpya, Richard Ella Djody kutoka Ivory Coast                                                                                         
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHIRWA APIGA HAT TRICK AZAM FC YAICHAPA PAN AFRICANS 4-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top