• HABARI MPYA

  Sunday, September 08, 2019

  COMAN AFUNGA MAWILI UFARANSA YAICHAPA ALBANIA 4-1

  Kingsley Coman akiifungia Ufaransa katik ushindi wa 4-1 dhidi ya Albania usiku wa jana katika mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Stade de France mjini Paris.  Coman alifunga mabao yake dakika ya nane 8 na 68, huku mengine yakifungwa na Olivier Giroud dakika ya 27 na  Nanitamo Jonathan Ikone dakika ya 85, kabla ya Sokol Cikalleshi kuwafungia bao la kufutia machozi wageni kwa penalti dcakika ya 90 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COMAN AFUNGA MAWILI UFARANSA YAICHAPA ALBANIA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top