Nahodha, Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia England hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 24, 49 na 73 kwa penalti ikiichapa Bulgaria 4-0 katika mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2020. Bao lingine la Simba Watatu lilifungwa na Raheem Sterling dakika ya 55, tena kwa pasi ya Kane na kwa ushindi huo, England inapaa kileleni PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, September 08, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment