Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akiruka juu kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 83 dhidi ya mabingwa wa England, Leicester City katika mchezo wa Ngao ya Jamii kuashiria kupenuliwa kwa pazia la msimu mpya jioni ya leo Uwanja wa Wembley, London. Man United imeshinda 2-1, baada ya Jesse Lingard kuanza kufunga dakika ya 32, kabla ya Jamie Vardy kuisawazishia Leicester dakika ya 32 kwa pasi boko ya Marouane Fellaini na Ibrahimovic kupiga la ushindi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sterling leaves Chelsea by mutual consent
-
Raheem Sterling leaves Chelsea by mutual consent after reaching an
agreement on his departure.
51 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment