• HABARI MPYA

  Sunday, August 28, 2016

  STERLING APIGA MBILI MAN CITY YAIPA 3-1 WEST HAM

  Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili ikishinda 3-1 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao lingine la City limefungwa na Fernandinho, wakati la West Ham limefungwa na Michail Antonio PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STERLING APIGA MBILI MAN CITY YAIPA 3-1 WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top