Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Monday, August 22, 2016

  YANGA SC NDANI YA UWANJA WA TP MAZEMBE MJINI LUBUMBASHI

  Wachezaji wa Yanga wakijiandaa kuanza mazoezi Uwanja wa TP Mazembe mjini Lubumashi Jumapili baada ya kuwasili kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la Shirikisho Jumanne Uwanja huo huo dhidi ya wenyeji, TP Mazembe
  Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi Uwanja wa TP Mazembe mjini Lubumashi baada ya kuwasili leo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: YANGA SC NDANI YA UWANJA WA TP MAZEMBE MJINI LUBUMBASHI Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top