• HABARI MPYA

    Monday, August 22, 2016

    SERENGETI BOYS NA AMAJIMBOS KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Beki wa Afrika Kusini, Kwenzokuhle Shinga (kulia) akimchezea rafu mshambuliaji wa Tanzania, Mohamed Rashid Abdallah katika mchezo wa marudiano Raundi ya pili kuwania tiketi ya Fainali za Vijana chini ya umri wa miaka 17 mwakani nchini Madagascar Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Serengeti ilishinda 2-0 na kufuzu kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya wiki iliyopita kutoa sare ya 1-1
    Mohamed Rashid Abdallah wa Serengeti Boys akiambaa na mpira pembeni ya beki wa Amajimbos 
    Shaaban Zubeiry wa Serengeti Boys (kushoto) akimtoka beki wa Amajimbos
    Yohanna Nkomola wa Serengeti Boys (kulia) akiwatoka mabeki wa Amajimbos
    Israel Patrick Mwenda wa Serengeti Boys akimtoka beki wa Amajimbos
    Beki wa Amajimbos akiinua mguu kuondosha mpira kwenye himaya ya Israel Mwenda
    Kipa wa Amajimbos,Glen Tumelo Baadjes akiruka kuookoa npira dhidi ya mshmbauliaji wa Serengeti Boys, Shaaban Zubeiry
    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na MIchezo, Nape Nnauye (kulia) akifurahia na Rais wa TFF, Jamal Malinzi baada ya bao la pili
    Kikosi cha Serengeti Boys jana
    Kikosi cha Amajimbos jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA AMAJIMBOS KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top