Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, August 28, 2016

  WAREMBO WASOMI WALIVYOISHUHUDIA YANGA IKIMPA MTU 3-0 LEO TAIFA

  Washiriki wa shindano la Miss High Learning Institution 2016 wakiwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom ya Tanzania Bara kati ya wenyeji, Yanga SC na African Lyon. Yanga ilishinda 3-0 na shindano hilo litafanyika Septemba 3, 2016 ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe, Dar es Salaam likisindikizwa na burudani ya Rapa Ney wa Mitego, Msaga Sumu na QS Internation Band.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: WAREMBO WASOMI WALIVYOISHUHUDIA YANGA IKIMPA MTU 3-0 LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top