• HABARI MPYA

  Wednesday, August 31, 2016

  SERENGETI BOYS NYINGINE ILIKUWA TAMU, LAKINI NDIYO HIVYO TENA!

  Kikosi cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, maarufu kama Serengeti Boys kikiwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar kabla ya moja ya mechi zao za michuano ya Afrika Mashariki na Kati iliyofanyika visiwani humo mapema mwaka 2004. Wa kwanza kushoto aliyesimama ni aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Subira Mambo (sasa marehemu).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS NYINGINE ILIKUWA TAMU, LAKINI NDIYO HIVYO TENA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top