Kipa wa Steaua Bucharest, Valentin Cojocaru akiushuhudia mpira wa kichwa wa Fabian Delph ukifanya safari ya kuelekea nyavuni kuifungia Manchester City bao pekee katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Etihad. Man City imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-0 baada ya kushinda 5-0 katika mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trump vows to hit Iran 'very hard' as Iranian president apologises to Gulf
nations for attacks
-
President Masoud Pezeshkian says Iran won't attack first - but Qatar
defence ministry says it has intercepted a missile.
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment