• HABARI MPYA

  Sunday, August 07, 2016

  LIVERPOOL YAKUNG'UTWA 4-0 SAA CHACHE TU BAADA YA KUICHAPA BARCA 4-0 PIA

  Mshambuliaji Mcolombia wa Mainz ya Ujerumani, Jhon Cordoba akipiga shuti mbele ya beki wa Liverpool, Joel Matip kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 44 katika ushindi wa 4-0 Uwanja wa  Opel Arena. Mabao mengine ya Mainz yalifungwa na Daniel Brosinski dakika ya 15 kwa penalti, Yunus Malli dakika ya na Yoshinori Muto dakika ya katika mchezo uliofanyika siku moja baada ya Liverpool kuifunga Barcelona 4-0 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAKUNG'UTWA 4-0 SAA CHACHE TU BAADA YA KUICHAPA BARCA 4-0 PIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top