Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, August 27, 2016

  ARSENAL YAANZA LIGI, YAITANDIKA WATFORD 3-0 VICARAGE ROAD

  Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la tatu ikishinda 3-0 dhidi ya wenyeji, Watford jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Santi Cazorla kwa penalti na Alexis Sanchez PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: ARSENAL YAANZA LIGI, YAITANDIKA WATFORD 3-0 VICARAGE ROAD Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top