Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, August 31, 2016

  CUADRADO AREJEA JUVENTUS KWA MKOPO WA MIAKA MITATU

  Winga wa Chelsea, Juan Cuadrado amekamilisha uhamisho wake wa kurejea Juventus kwa mkopo wa miaka mitatu, klabu hiyo ya Italia ikilipa Pauni Milioni 4 kwa msimu na nyingine Pauni Milioni 8.4 watalipa wakimsainisha mkataba wa kudumu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: CUADRADO AREJEA JUVENTUS KWA MKOPO WA MIAKA MITATU Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top