• HABARI MPYA

    Monday, January 04, 2016

    YANGA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN

    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimdhubiti beki wa Mafunzo FC katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 3-0
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akigombea mpira na beki wa Mafunzo FC, Samir Haji Nuhu wa Mafunzo jana
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva (kushoto) akiambaa kwenye chaki dhidi ya beki wa Mafunzo
    Kikosi cha Yanga SC kilichoitandika Mafunzo FC mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Kundi B Kombe la Mapinduzi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top