Danilo wa Valencia CF akipambana na kugombea mpira dhidi ya Gareth Bale wa Real Madrid katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili. Timu hizo zimetoka 2-2 mabao ya Real yakifungwa na Karim Benzema na Gareth Bale, ya Valencia yakifungwa na Daniel Parejo na Francisco Alcacer Uwanja wa Mestalla PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Boy, 15, charged with murder of girl, 9
-
Aria Thorpe was pronounced dead at a house in Weston-super-Mare on Monday
evening.
25 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment