• HABARI MPYA

  Wednesday, January 06, 2016

  TAMBWE AENDELEA KUSOTEA MABAO KOMBE LA MAPINDUZI

  Mshambuliaji Mrundi wa Yanga SC, Amissi Tambwe (kulia) akiwatoka wachezaji wa Azam FC, Himid mao na Abdallah Kheri katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar jana. Timu hizo zilitoka 1-1 bao la Azam FC akifunga Kipre Tchetche na la Yanga SC, Vincent Bossou, huku Tambwe akiendeleza rekodi yake ya kutofunga kwenye mashindano hayo ya kila Januari visiwani humo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAMBWE AENDELEA KUSOTEA MABAO KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top