• HABARI MPYA

    Monday, April 27, 2026

    MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA, GWIJI WA FILAMU TANZANIA AFARIKI DUNIA

    BEKI wa zamani wa Yanga, Hashim Shaaban Kambi ‘Ramsey’ amefariki dunia leo muda mfupi baada ya kufikishwa Hospitali ya Mico, Sinza, Dar es Salaam kufuatia kuzidiwa ghafla wakati akiwa kwenye shughuli zake za kisanii.
    Baada yab kustaafu soka, Kambi aligeukia sanaa ya uigizaji nchini na hadi anafariki alikuwa mmoja wa wasanii wakubwa wa Filamu Tanzania. Tazama mahojiano yake na Mtangazaji wa zamani wa Azam Tv, Mahmoud Bin Zubeiry chini.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA, GWIJI WA FILAMU TANZANIA AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top