• HABARI MPYA

  Wednesday, January 06, 2016

  PATI LA UBINGWA WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI SIMBA SC MWAKA 1991!

  Wachezaji wa Simba SC wakicheza kwa furaha baada ya kuifunga SC Villa ya Uganda mabao 3-0 katika fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1991 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kulitwaa tena Kombe hilo tangu ilipolitwaa mara ya kwanza mwaka 1974, ikapokonywa na mahasimu Yanga mwaka uliofuata 1975, ambao walikwenda kuliacha Kenya na halikurudi tena Tanzania hadi 1991 liliporejeshwa na Wekundu wa Msimbazi. Ilikuwa furaha kubwa. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PATI LA UBINGWA WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI SIMBA SC MWAKA 1991! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top