• HABARI MPYA

    Saturday, January 09, 2016

    SIMBA SC NA JKU KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN

    Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude akiwa amembeba mshambuliaji wa timu hiyo, Danny Lyanga baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee katika ushindi wa 1-0 jana dhidi ya JKU mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la Mapinduzi, Zanzibar.
    Kiungo wa Simba SC, Awadh Juma Issa akitafuta maarifa ya kumtoka mchezaji wa JKU jana
    Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi akimtoka mchezaji wa JKU jana Uwanja wa Amaan
    Winga wa Simba SC, Joseph Kimwaga anayecheza kwa mkopo kutoka Azam FC, akitafuta maarifa ya kumpokonya mpira mchezaji wa JKU jana 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA JKU KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top