• HABARI MPYA

  Sunday, January 17, 2016

  ROONEY AWAFYONZA DAMU LIVERPOOL, MAN UNITED YAUA 1-0 ANFIELD

  Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Liverpool Uwanja wa Anfield jioni ya leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROONEY AWAFYONZA DAMU LIVERPOOL, MAN UNITED YAUA 1-0 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top