WENYEJI, CR Belouizdad wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya sare ya bila mabao na Al Masry usiku wa Jumamosi Uwanja wa Nelson Mandela, eneo la Baraki Jijni Algiers nchini Algeria.
Kwa matokeo hayo, CR Belouizdad wanakwenda Nusu Fainali kwa faida ya bao la ugenini kufuatia sare ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali Machi 14 Uwanja wa New Suez mjini Suez nchini Misri.
Siku hiyo, mshambuliaji Salah Mohsen alianza kuifungia Al Masry dakika ya 55, kabla ya winga wa kushoto, Mohamed Islam Belkhir kuisawazishia CR Belouizdad dakika ya 46.

.png)
0 comments:
Post a Comment