MABINGWA watetezi, Yanga SC wametoa sare ya bila kufungana na wenyeji, TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
TRA United ilicheza pungufu kwa dakika 10 za mwisho kufuatia kiungo wake, Muzamil Yassin Selemba kutolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 76 baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano.
Kwa matokeo hayo, Yanga SC inakamilisha mechi 15 za mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni Ikiwa na pointi 37, wakati TRA United inakamilisha mzunguko huo nafasi ya 10 ikiwa na pointi 20.

.png)
0 comments:
Post a Comment